Kuelekea fainali za mataifa ya Afrika 2023 nchini Ivory Coast ni makocha watatu pekee kati ya 24 wanaoshiriki AFCON 2023 ambao wamewahi kutwaa kombe la michuano hiyo huko nyuma.
- Hugo Broos – 2017 [Cameroon] Kwasasa anakinoa kikosi cha Afrika Kusini.
- Djamel Belmandi – 2019 [Algeria] bado yupo Algeria.
- Aliou Cisse – 2022 [Senegal] Bado yupo Senegal.
Kati ya hao ni makocha wawili pekee ambao waliwahi kucheza kwenye hizo timu na kutwaa taji hilo [Djamel Belmand na Aliou Cisse].