Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inatarajia kwenda nchini Azerbaijani Kwaajili ya mashindano madogo ya FIFA Series yatakayo husisha timu nne kutoka mabara tofauti.
Stars itacheza mchezo wake wa kwanza March 22 dhidi ya Bulgaria na mchezo wa pili utapigwa March 25 dhidi ya Mongolia.
FIFA Series ni mashindano madogo mbadala wa mechi za kirafiki za kimataifa timu shiriki zitakuwa ni Tanzania, Bulgaria, Mongolia pamoja na mwenyeji Azerbaijani.