NBC Premier League

TIMU TATU ZA LIGI KUU NA CHAMPIONSHIP KUBADILI MAJINA.

Published on

Kwamujibu wa ripoti mbalimbali zinasema kuwa klabu ya Ihefu yenye maskani yake mkoani Singinda inampango wa kubadilisha jina na kuwa Singida Leopards FC kuanzia msimu ujao.

Ihefu kwasasa inatumia uwanja wa CCM Liti na wataanza kuutumia kwenye mchezo wao wa Ligi dhidi ya Mashujaa ya mkoani kigoma.

Hata hivyo ripoti zinaeleza klabu ya Mbeya kwanza ipo mbioni kununuliwa na kubadilishwa jina kuwa Ihefu na watautumia uwanja wa Ubaruku uliopo Mbarali Jijini Mbeya.

Wakati huo huo Singida Fountain Gate itabadili jina pia na kuwa Fountain Gate Academy, na maskani yake yatakuwa mwanza kwenye uwanja wa Fountain Gate uliopo Gwambina mara baada ya uwanja huo kufanyiwa marekebisho.

Popular Posts

Exit mobile version