Mwanamama wa miaka 90 ameepuka kutekwa na kundi la Hamas baada ya kuwaambia kuwa ametoka nchi moja na Leonel Messi [Argentina].
Mzee huyo alisema kuwa baada ya wana kikundi hao kutaka kuwateka aliwauliza kama wanaangalia mpira na wakajibu huwa wanaangali kisha akawaeleza kuwa anatoka nchi moja na Messi.
Baada ya maelezo hayo Bibi huyo anasema alifurahi sana mwanakikundi huyo wa Hamas na mshika bega, kisha kumwambia aonyeshe alama ya upenda na wakapiga picha ya pamoja na mwisho watekaji wakaondoka na kumuacha yeye na familia yake salama.
Nilimuuliza, Unaangalia mpira ?, akasema anapenda na nikamwambia nimetoka nchi moja na Messi.
Alishangaa sana na kuniambia kuwa anampenda sana Messi, akawa ameweka mkono wake begani kwangu, akanipa bunduki yake na akaniambia nionyeshe ishara ya upendo na akapiga picha na mimi.
Alisema Bibi Esther Cunio.
Mwana Mama huyo anayejulikana kwa jina la Esther Cunio kidogo apelekwe Gaza pamoja na wanafamilia wengine nane [8] lakin