Top Story

RODRYGO ALIIKATAA LIVERPOOL KISA SANTOS.

Published on

Nyota wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Brazil Rodrygo Goes aliikataa ofa ya Liverpool alipohitajika kipindi alipikuwa anaitumikia klabu ya Santos ya kwao Brazil mwaka 2019.

Baada ya kuikataa Liverpool alichagua kwenda Santiago Bernabeu kuitumikia klabu ya Real Madrid yenye maskani yake nchini Hispania.

“Nilihitaji kusalia Santos, ili nitengeneze historia na klabu hii.”

“Na hicho ndicho kilichotokea, nilitimiza ndoto zangu za kuichezea Santos, na ni kweli kidogo niende Liverpool.”

– Rodrygo Goes, Nyota wa Real Madrid

.

Popular Posts

Exit mobile version