Simba

INONGA KUIKOSA MASHUJAA LEO KIGOMA.

Published on

Mlinzi kitasa wa klabu ya Simba Henock Inonga Bacca hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili klabu ya Mashujaa hii leo.

Mchezo wa Simba dhidi ya Mashujaa utapigwa uwanja wa Lake Tanganyika saa 10:00 Jioni ikiwa ni mchezo wa kombe la shirikisho.

Popular Posts

Exit mobile version