African Football League

RATIBA YA MICHEZO YA AFL LEO.

Ili Simba iweze kufuzu inahitajika ipate ushindi wa aina yoyote ile, ili Petro de Luanda ifuzu hatua ya nusu fainali inapaswa kuifunga Mamelodi kuanzia goli 3.

Published on

Leo kutakuwa na michezo miwili ya marejeano ya African Football League, michezo ambayo itakuwa ya maamuzi ili kujua nani anafuzu kwenda hatua ya nusu fainali ya mashindano haya, Al Ahly na Mamelodi Sundowns wana faida zaidi hii leo kutokana na uwepo wao nyumbani wakiwa na mashabiki wao.

  • 17:00 AL AHLY vs SIMBA (Agg. 2-2).
  • 20:00 MAMELODI SUNDOWNS vs PETRO ATLETICO (Agg. 2-0).

Katika mashindano haya goli la ugenini linahesabiki, hii ni kwa mujibu wa kanuni za michuano za African Football League.

Popular Posts

Exit mobile version