Top Story

ERITREA YAJITOA KUSHIRIKI WORLD CUP.

Eritrea imejitoa kushiriki katika mashindano yote makubwa iliyopangwa kushiriki ikiwemo Afcon na kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia.

Published on

Timu ya Taifa ya Eritrea imejitoa kushiriki michezo ya kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za kombe la Dunia wakihofia wachezaji wao kutoroka na kuomba hifadhi nchi zingine endapo wataenda kucheza michezo hiyo kutokana na hali mbaya ya kisiasa inayoendelea nchini humo.

Timu hiyo haijacheza mchezo wowote wa kiushindani tangu mwaka 2019, na hakuna Ligi inayochezwa kwasasa nchini humo, mwezi ujao walitakiwa kucheza na Morocco na Congo.

Popular Posts

Exit mobile version