NBC Premier League

SINGIDA FOUNTAIN GATE YAFUNGIWA USAJILI.

Published on

Taarifa mbaya kwa mashabiki wa Singida ni kwamba Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeifungia klabu hiyo kusajili. Nyundo hiyo ya FIFA imekuja kufuatia shirikisho hilo kuikuta Singida Fountain Gate ikiwa na hatia kutokana na kushindwa kumalizana na beki wao wa zamani, Mghana Nicholas Gyan.

Taarifa kutoka FIFA inasema adhabu hiyo kwa singida itaanza kufanya kazi katika dirisha lijalo la usajili.

Popular Posts

Exit mobile version