CAF Champions League

RATIBA YA MICHEZO YA SIMBA CAF CL 2023/24.

Published on

Klabu ya Simba msimu huu imepangwa kundi B la Ligi ya mabingwa Barani Afrika ikiwa pamoja na klabu za Wydad Athletic Casablanca [Morocco], Jwaneng Galaxy [Botswana] pamoja na klabu ya Asec Mimosas [Ivory Coast].

Kila timu katika kudi hili italazimika kucheza michezo mitatu nyumbani na mitatu ugenini. Timu itakayokuwa kinara na itakayokamata nafasi ya pili katika hatua hii itafuzu moja kwa moja kwenda hatua ya robo fainali.

HII NI RATIBA KAMILI YA MICHEZO YA SIMBA MSIMU HUU

  • November 25, 2023 16:00 Simba vs Asec Mimosas
  • December 02, 2023 16:00 Jwaneng Galaxy vs Simba.
  • December 09, 2023 22:00 Wydad AC vs Simba
  • December 19, 2023 16:00 Simba vs Wydad AC
  • February 23,2024 TBD Asec Mimosas vs Simba
  • March 1, 2023 TBD Simba vs Jwaneng Galaxy

Popular Posts

Exit mobile version