Betting Tips

MKEKA WA NBC PL LEO

Published on

TANZANIA PRISONS   2 – 2   COASTAL UNION

Prisons wametoka kupoteza 2-1 dhidi ya Kagera Sugar na hawapo kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi kuu(nafasi ya 15) wana kila sababu ya kutafuta alama 3 dhidi ya Coastal Union leo lakini watakabiliana na upinzani mkubwa kwakuwa na wao hawako sehemu salama sana wakitoka kufungwa pia 1-0 nyumbani Mkwakwani na Yanga na wakiwa nafasi ya 14. Wote wana alama 7.

Prisons wanaingia kuikabili Coastal leo bila Kocha wao mkuu, Fred Felix Minziro huku wakitambua umuhimu wa alama 3 za leo kwenye kuelekea kuunusuru msimu.

 Sare ni nafasi kubwa kupatikana ila magoli pia hayapo nyuma.

NAMUNGO   2 – 1 IHEFU

CEO mpya wa Ihefu, Biko Skanda anaingia ofisini na kibarua kigumu dhidi ya Namungo ambao licha ya kuwa nyumbani leo, walionyesha mchezo mzuri sana dhidi ya Simba kwenye mechi yao ya mwisho iliyoisha kwa sare ya 1-1.

 Kama watakuwa na nidhamu kama ile na ari basi Ihefu watakuwa amatatizoni sana. Ikumbukwe Ihefu pia katoka kupigika 3-1 kwake na Azam na hawakuwa vizuri.

Ihefu hawakuwa na siku nzuri kwenye dimba lao la nyumbani, Highland Estates, hawakucheza vizuri na kuzidiwa kil aeneo na wageni wao Azam. Kuna vitu vingi wanapaswa kuviweka sawa kwenye mchezo wa leo hasa eneo lao la ulinzi na kutumia nafasi chache wanazozitengeneza.

Namungo ana nafasi kubwa ya kushinda lakini ataruhusu pia goli.

Popular Posts

Exit mobile version