CAF Champions League

CLIFORD NDIMBO, BARAKA KIZUGUTO WAULA CAF.

Published on

Ofisa Habari na Mawasiliano TFF, Cliford Mario Ndimbo ameteuliwa na CAF kuwa Ofisa Habari wa mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Young Africans (Tanzania) vs Al Ahly (Misri) utakaochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi Desemba 2,2023.

Wakati huo huo Meneja Mashindano TFF, Baraka Kizuguto ameteuliwa na CAF kuwa Mratibu (General Coordinator) wa mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jwaneng Galaxy (Botswana) vs Asec Mimosas (Ivory Coast) utakaochezwa Desemba 9,2023.

Popular Posts

Exit mobile version