MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA KIUME
VICTOR OSIMHEN – NIGERIA/NAPOLI
MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA KIKE
ASISAT OSHOALA – NIGERIA/FC BARCELONA
KOCHA BORA WA MWAKA – TIMU ZA WANAUME
WALID REGRAGUI – MOROCCO
KOCHA BORA WA MWAKA – TIMU ZA WANAWAKE
DESIREE ELLIS – AFRIKA YA KUSINI
GOLIKIPA BORA WA MWAKA – WANAUME
YASSINE BONOU – MOROCCO/AL HILAL
GOLIKIPA BORA WA MWAKA – WANAWAKE
CHIAMAKA NNADOZIE – NIGERIA
TIMU YA TAIFA BORA YA MWAKA – WANAUME
MOROCCO
TIMU YA TAIFA BORA YA MWAKA – WANAWAKE
NIGERIA
GOLI BORA LA MWAKA
MAHMOUD KAHRABA – AL AHLY
MCHEZAJI BORA WA KIUME NGAZI YA VILABU
PERCY TAU – AL AHLY
MCHEZAJI BORA WA KIKE NGAZI YA VILABU
FATIMA TAGNAOUT – ASFAR
MCHEZAJI BORA KIJANA WA KIUME
LAMINE CAMARA – SENEGAL
MCHEZAJI BORA KIJANA WA KIKE
NESRYNE EL CHAD -MOROCCO
KLABU BORA YA MWAKA – WANAUME
AL AHLY – EGYPT
KLABU BORA YA MWAKA – WANAWAKE
MAMELODI SUNDOWNS LADIES – AFRIKA YA KUSINI