Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali kutoka nchini Cameroon zinaeleza kuwa huenda mlinda lango wa klabu ya Manchester United na timu ya Taifa ya Cameroon Andre Onana asiwe sehemu ya kikosi kitakachoshuka dimbani leo dhidi ya Guinea.
Michuano ya AFCON mwaka huu imeshangaza wengi sana hasa matokeo ya timu kubwa, Guinea ilimpiga Nigeria [2-0] kwenye mechi ya kujiandaa na AFCON leo atakutana na Cameroon, pengine tukaendelea kuona matokeo ya kushangaza kwenye mchezo huu.
MATOKEO YA MECHI ZA JANA AFCON.
FT: Nigeria 1-1 Equatorial Guinea
FT: Misri 2-2 Msumbiji.
FT: Ghana 1-2 Cape Verde.
MATOKEO MECHI ZA JANA ASIA CUP.
FT: UAE 3-1 Hongkong
FT: Iran 4-1 Palestine
FT: Japan 4-2 Vietnam.
MECHI ZA LEO AFCON 2023.
KUNDI C
17:00 Senegal vs Gambia
20:00 Cameroon vs Guinea
KUNDI D
23:00 Algeria vs Angola
MICHEZO YA ASIAN CUP
KUNDI D
17:30 Indonesia vs Iraq
KUNDI E
14:30 Korea Kusini vs Bahrain
20:30 Malyasia vs Jordan