International Football

MATUMIZI YA MADAWA, KUMUONDOA POGBA UWANJANI

Published on

Kiungo wa Juventus inayoshiriki ligi kuu nchini Italia ‘Serie A’ Paul Pogba yuko mbioni kufungiwa miaka minne kutojihusisha na soka kutokana na kufeli vipimo vya kuzuia matumizi ya dawa za kusisimua misuli kwenye soka.

Kwasasa Pogba anaendelea kufanyiwa uchunguzi ili kuthibitisha madai hayo

Popular Posts

Exit mobile version