La Liga

BARCA KUWABAKIZA CANCELO NA FELIX KWA MKOPO.

Published on

Rais wa Barcelona Juan Laporta anaamini msimu ujao ataendelea kusalia na nyota wawili waliopo kwa mkopo kwenye klabu hiyo Joao Felix na Joao Cancelo.

Laporta anaamini kuwa Manchester City haitaweka kipingamizi kwa Cancelo na Atletico Madrid haitamrudisha Felix kwenye kikosi chao.

Barcelona haiwezi kuwanunua nyota hao kutokana na changamoto za masuala ya fedha badala yake wanaweza kuwabakiza kwa kuendelea kwa mkopo wa msimu mwingine tena.

Popular Posts

Exit mobile version