Utabiri wa mwisho wa msimu wa Ligi kuu kandanda England kwa mujibu wa Super Computer umeeleza kuwa Manchester City watakuwa mabingwa wa Ligi kwa msimu wa 2023/24.
Kwa mujibu wa super Computer hiyo imeeleza Arsenal pia itaonyesha upinzani mkubwa lakini itamaliza nafasi ya pili ya msimamo na licha ya Everton kupokwa alama 10 lakini haitashuka daraja.
Msimamo wa Ligi utakavyokuwa baada ya Ligi kuisha.
- Manchester City
- Arsenal
- Liverpool
- Newcastle United
- Aston Villa
- Tottenham Hotspurs
- Chelsea
- Manchester United
- Brighton
- Brentford
- Westham United
- Wolveshampton
- Crystal Palace
- Nottingham Forest
- Fulham
- Bournemouth
- Everton
- Burnley
- Luton
- Sheffield United.