Mapinduzi Cup

SIMBA KUKIPIGA JANUARY 1 MAPINDUZI CUP.

Published on

Michuano ya Mapinduzi inatarajiwa kuanza kurindima hivi karibuni huko visiwani Zanzibar ambapo michuano hii inashirikisha jumla ya timu 12.

Klabu ya Simba ipo nafasi ipo kundi B, ikiwa na pamoja na klabu za Jamhuri [Zanzibar], Singida Fountain Gate [Tanzania Bara] na APR [Rwanda].

Hii ni ratiba ya klabu ya Simba katika michuano ya Mapinduzi msimu huu hatua ya makundi.

JANUARY 1, 2024.
20:15 Jamhuri vs Simba.
Amaan Stadium.

JANUARY 3, 2024.
20:15 Simba vs Singida Fountàin Gate.
Amaan Stadium.

JANUARY 5, 2024.
20:15. Simba vs APR.
Amaan Stadium.

Popular Posts

Exit mobile version